Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Wanafunzi Elimu ya Juu wakusanyika Bodi ya Mikopo kudai mikopo

on

Leo November 6, 2017 baadhi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Vyuo Vikuu wamekusanyika kwenye ofisi za bodi ya mikopo ya elimu ya juu ili kushinikiza wapewe mikopo.

Baadhi ya wanafunzi wameiomba bodi hiyo kuweka wazi sababu za wao kukosa mikopo ikiwa wengi wao wanadai kuwa na vigezo vyote vya kustahili kupata mikopo na hawajapata, huku wakishinikiza suala hilo lipatiwe ufumbuzi mapema na kuwawezesha kupata mikopo hiyo.

Ulipitwa? Mkurugenzi wa Jiji Mwanza aahirisha kikao cha Madiwani, Meya je?

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement