fB insta twitter

#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa mchana wa leo May 2, 2017

on

Twitter ni moja ya mitandao ya kijamii ambayo hutumiwa na watu wengi katika kufikisha habari, taarifa, mawazo na maoni ambapo huwafikia watu wengi kwa wakati mmoja.

Kama ulipitwa na stori kubwa mchana wa leo May 2, 2017 kupitia twitter, basi hauna sababu ya kuwa na wasiwasi zaidi wa kuzikosa kwani nimekukusanyia hapa tweets sita zilizobeba stori kubwa mchana wa leo.

VIDEO: Binadamu mzee zaidi duniani anayepatikana Tanzania. Bonyeza play kutazama…

Soma na hizi

Tupia Comments