Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la mechi ya Tanzania Prisons vs Yanga Nov 6 2016, Full Time 0-1

on

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Dar es Salaam Young Africans leo November 6 2016 walikuwa jijini Mbeya kuchuana na Tanzania Prisons katika mchezo wao wa 14 wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017, katika mchezo huo Yanga wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli likifugwa na Simon Msuva dakika ya 74 kwa mkwaju wa penati.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement