PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Ukimuuliza Hans kutangazwa kuwa anaondoka Singida haoni kumewaathiri wachezaji?

on

Kocha Hans van Pluijm wa Singida United  pale alipoulizwa kutangazwa kwake rasmi na Azam FC kuwa anajiunga nao, haoni kumesababisha wachezaji wake wa Singida waathirike kisaikolojia katika game ya fainali ya FA dhidi ya Mtibwa Sugar kwa kupata taarifa hizo.

“Leo nimecheza mechi yangu ya mwisho kama kocha wa Singida kwani naondoka nimejiunga na Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili ambapo hiyo itakuwa changamoto yangu mpya, unafikiri kuna hata mchezaji mmoja leo hakutaka sisi tushinde”>>> Hans van Pluijm

AyoTV ilivyomnasa staa wa zamani wa Liverpool Airport KIA 

Soma na hizi

Tupia Comments