Tangaza Hapa Ad

AUDIO: Kiongozi UVCCM adaiwa kutapeli kwa kitambulisho feki cha usalama wa taifa


Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Lengai Ole Sabaya anashikiliwa na Jeshi la polisi Arusha akidaiwa kughushi kitambulisho cha usalama wa taifa na kukitumia kwa utapeli. Kamanda wa polisi Arusha, Charles Mkumbo wamemkamata baada ya Jeshi la polisi kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi.

ULIKOSA UFAFANUZI WA MWANASHERIA KUHUSU HUKUMU YA KUNYONGWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement