Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 10: RC Paul Makonda alivyozindua muonekano wa madereva Bodaboda

on

Ni Sept 18, 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua chama cha waendesha Bodaboda na Bajaji kwa mkoa wa Dar es Salaam.Ambapo kwenye uzinduzi huo uliambatana na mpango wa muonekano mpya wa madereva ikiwemo Kofia mpya (Helment za kisasa).

Katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam Mkuu huyo aliwataka waendesha Bodaboda kuwa mabalozi wa wenzao wanaovunja sheria za Barabara kwa kupakiza abiria zaidi ya mmoja ‘Mshikaki”

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA HII YA JACQUELINE MENGI KATULETEA BIASHARA YA FURNITURES BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement