Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Jeshi la Polisi Kinondoni limezungumzia kuokotwa kwa Mwili wa Mtu ufukweni

on

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Murilo Jumanne Murilo amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa jeshi hilo limeokota mwili wa mwanaume anayekadiriwa kuwa na miaka 35, katika eneo la ufukwe wa Coco Beach akiwa amefariki.

Kamanda Murilo ameeleza walipata taarifa ya kuonekana kwa mtu huyo kutoka kwa msamaria mwema na walipokwenda eneo la tukio waliukuta mwili wa mtu huyo ukiwa na majeraha na akiwa tayari ameshafariki.

Ameeleza kuwa Jeshiย  la Polisi tayari limeanza mara moja kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo cha mtu huyo.

Utafiti wa mapato na matumzi binafsi utafanyika katika kaya 408 Mwanza.

ย 

Soma na hizi

Tupia Comments