Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Maamuzi ya Ngassa katika soka yaliowahi kumfurahisha baba yake

on

Baba mzazi wa mwanasoka Mrisho Ngassa mzee Khalfan Ngassa, amekubali kufanya exclusive interview na AyoTV kwa ajili ya kuzungumzia soka na vitu kadhaa kuhusu mtoto wake Mrisho Ngassa, mzee Khalfan Ngassa amekubali kuzungumza maamuzi ya Mrisho Ngassa katika soka ambayo yamewahi kumfurahisha.

“Maamuzi aliyowahi kufanya sahihi katika soka ni alipoamua kurudi Yanga akitokea Simba, hayo ndio maamuzi aliyowahi kufanya sahihi zaidi kwa sababu inaeleweka anaipenda kwa dhati Yanga, tofauti ya hayo sijawahi kuona maamuzi sahihi ya soka aliyowahi kufanya nikapenda”

GOALS: TP Mazembe vs Yanga August 23 2016, Full Time

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement