Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mpaka sasa hivi Vodacom imewajaza Mpunga watanzania 234

on

Vodacom Tanzania imeendelea kuwakamatisha wateja wake mpunga kwenye promosheni yake ya kamata mpunga inayowawezesha wateja wa mtandao wa Vodacom kujishindia pesa taslim kuanzia laki 5 mpaka milioni 20.

Mpaka sasa kamata Mpunga imewajaza Mpunga watanzania 234 wanaoshiriki promosheni hiyo. Mtu wangu bado kuna mamilioni ya kutosha kushindaniwa, ili uweze kushiriki katika promosheni hiyo unatakiwa kutuma neno ‘GO’ kwenda namba 15544 na jibu maswali mbalimbali.

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIKOSA HIKI UNACHOTAKIWA KUKIJUA ZAIDI KUTOKA MTANDAO WA VODACOM? UNAWEZA KUANGALIA VIEO HII HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement