Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

VITUKO: Ng’ombe avalishwa Sidiria kuepuka magonjwa

on

Dunia haishiwi vituko na leo May 23, 2018 nakusogezea stori kumhusu Mkulima anayejulikana kwa jina la Graham Burnet kutoka nchini Scotland amewashangaza wengi baada ya kuwa mbunifu kwa kumvalisha ng’ombe wake sidiria.

Aidha imeelezwa kuwa mkulima huyo anafanya hivyo kwa minajili ya kumkinga ng’ombe wake huyo asipate maambukizi kwenye chuchu zake.

Wananchi wafunguka ‘Viwanda ni mtu wa 3 kumtesa Mwanamke’, Sisi kipaumbele sio viwanda’

Baba wa kijana anayedaiwa kufufuka amezungumza ‘Mtu mwingine atakufa”

Soma na hizi

Tupia Comments