Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 7: Mazishi ya Nidikumana, Mama na Baba yake wamwaga machozi

on

Asubuhi ya Nov 15, 2017 Tanzania ilizipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda, Hamad Ndikumana Katauti ambapo mazishi yake yaliyafanyika siku hiyo hiyo kutokana na sheria ya dini yake ya kiislamu.

Marehemu aliwahi kucheza soka Tanzania akiwa na Stand United na ni Mume wa zamani wa  Mwigizaji Irene Uwoya na wana mtoto mmoja.

MAMA MZAZI WA NDIKUMANA AKILIA

MWILI WA MAREHEMU NDIKUMANA

BABA MZAZI WA NDIKUMANA

Chanzo cha kifo cha Ndikumana chatajwa na alichoomba kabla ya kufariki…. play hapa chini

MACHOZI YA JOHARI KWA LULU…. APELEKA OMBI KWA BABA KANUMBA, MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement