Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

DONE DEAL: Arda Turan ameihama Barcelona

on

Klabu ya Barcelona ilitangaza wachezaji ambao hawana mpango nao katika msimu huu wa usajili hivyo wanaweza kuondoka katika timu hiyo, miongoni mwao Arda Turan ambaye kwa sasa tayari amesajiliwa rasmi katika timu ya soka ya Başakşehir ya Uturuki

Taarifa kuhusu kusajiliwa kwa nyota huyo imetolewa katika ukurasa rasmi wa Twitter wa timu hiyo ya mjini Istanbul,Istanbul Basaksehir inathibitisha kusainiwa kwa Arda Turan kutoka Barcelona”

 

Kiongozi wa timu ya Başakşehir amesema kitendo cha kufanikiwa kumsajili nyota huyo katika timu yake  kutamfanya kuwa kinara katika  Süper Lig ya Uturuki.

REKODI ALIYOIWEKA GUARDIOLA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI

Soma na hizi

Tupia Comments