Premier Bet

Top Stories

LIVE: MANENO YA WEMA SEPETU BAADA YA KUSEMEHEWA ADHABU YAKE

on

Baada ya Bodi ya Filamu Tanzania leo Feb 18 2019 kumfungulia adhabu iliyotokana na kufungiwa kutofanya shughuli za filamu kwa muda usiojulikana Muigizaji Wema Sepetu kutokana na video yake ya kimahaba kusambaa  kwenye mitandao ya kijamii October 26 2018, Muigizaji huyo amezungumza haya.

Nadhani kwamba mnajua ni jinsi gani ninavyopenda kazi yangu, naipenda, naihusudu, naithamini, kwa hiyo mtegemee vitu vingi sana, vipya kutoka kwangu, vizuri na naahidi Watanzania kwamba sitawaangushaWema Sepetu

LIVE: WEMA SEPETU AITWA TENA NA BODI YA FILAMU

Soma na hizi

Tupia Comments