Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Rapper Wangechi amezungumza haya kuhusu muziki wa Kenya

on

Kumekuwa na headlines baada ya wasanii wengi kutoka Kenya kuonekana kuwa na ukimya wa mda mrefu nikizungumzia wasanii kama Jua kali, Nameless, Wahu, Nonini na wengine wengi na hii imeleta maswali mengi kwa mashabiki wa muziki wa Kenya na moja ya swali ni,’je ni kweli muziki wa Kenya umeshuka?’

Camera za AyoTV na Millardayo.com ziliweza kumpata kwenye Exclusive interview mwanadada anayefanya vizuri kwenye game ya muziki wa 254 Rapper Wangechi mmiliki wa single ‘Cardiac Arrest’ na alitoa majibu haya juu ya muziki wa Kenya.

‘Sidhani imepoa, nadhani its growing and its growing bigger ni kwamba tu Tanzania mmegrow bigger than us  so mnafocus on your artists lakini pia kenya ina grow na wasanii….’ – Wangechi

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA LINAH NA IDRIS WALIVYOJIACHIA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA BEN POL? UNAWEZA KUICHECK VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement