Tangaza Hapa Ad

Michezo

Shomari Kapombe nje wiki tatu

on

Klabu ya Azam FC leo October 5 2016 kupitia kwa mkuu wake wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Jafari Iddi Manganga amethibitisha kupokea taarifa kutoka kwa daktari wa timu yao kuhusu beki Shomari Kapombe.

Jafari Iddi amethibitisha kukosekana kwa Shomari Kapombe na atakaa nje ya uwanja kwa wiki tatu kufuatia kupasuka kwa nyama za paja na vipimo vya MRI atakaa nje ya uwanja kwa wiki tatu akiuguza jeraha hilo.

“Azam FC tumepata majeruhi Shomari Kapombe yupo majeruhi nimeongea na daktari wa timu Dk Mwankemwa shomari ameumia amepasuka nyama za paja, na kwa mujibu wa vipimo atakaa nje ya uwanja kwa wiki tatu”

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement