Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Hatutamvumilia yeyote atakayechelewesha ujenzi huu wa reli ya Standard Gauge” – RAHCO

on

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji RAHCO Masanja Kadogosa usiku wa October 10, 2017 alitembelea maeneo ya pugu mpaka soga ili kukagua unavyoendelea ujenzi wa reli ya Standard Gauge.

Katika ziara hiyo Kadogosa ameeleza kuwa hawatamvumilia mtu yeyote ambaye akazorotesha ufanikiwaji wa mradi huu wa ujenzi wa reli.

Imeelezwa kuwa mpaka sasa kazi ya kupima ardhi imekwisha kamilika pamoja na kusanifu njia ya reli na kwa sasa ni usanifu wa kina katika madaraja makubwa na madogo pamoja na kazi ya ujenzi wa tuta ambao tayari umekwisha anza.

Ulipitwa na hii? RC katatua mgogoro wa miaka 15, ishu ikawa mlalamikaji alivyojitambulisha 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement