Tangaza Hapa Ad

Michezo

Picha za Roberto Carlos wa Brazil alipokutana na Wachezaji wa Yanga Uturuki.

on

r2Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos leo asubuhi  amekutana na wachezaji na viongozi wa Yanga kabla ya mazoezi.

Carlos Kwa sasa ni kocha wa timu ya Sivasspor iliyopo Ligi Kuu nchini Uturuki, Yanga pamoja na Sivasspor zimeweka kambi kwenye hotel ya Sueno Beach zikijiandaa na mashindano mbali mbali yanazikabil,Yanga wakiwa wameweka kambi kujiandaa na raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom wenzao Sivasspor wanajiandaa na mchezo kombe la chama cha soka nchini humo ambao utachezwa siku ya jumanne.

r3

r4

r5Stori na picha vimetoka shaffihdauda.com

Tupia Comments

Advertisement