Tangaza Hapa Ad

BreakingNews

BREAKING: Bondia Thomas Mashali afariki Dunia

on

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo October 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, Taarifa zinadai kuwa alishambuliwa na wananchi baada ya madai ya kuitiwa mwizi.

Taarifa kutoka kwa Promota wake, Siraji Kaike amesema watu aliokuwa anagombana nao walimwitia mwizi na wakawa wamemshambulia na kumtupa baadaye bodaboda waliokuwa wanamjua Thomas Mashali walimuokota na kumpeleka hospitali ambapo baadaye zilitolewa taarifa kuwa amefariki.

thomas-2

Unaweza kumsikiliza Promota Siraji Kaike kuhusu kifo cha marehemu Thomas Mashali

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYOTV, OCTOBER 31 2016 UNAWEZA KUANGALIA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement