Tangaza Hapa Ad

Mix

Nimeweka vocha ya Vodacom ya elfu 10 hapa kwa atakaewahi aisee

on

zawadi 1Usishangae siku nyingine ukiwahi kuamka ukakutana na zawadi mbalimbali hapa zikiwemo vocha hapa millardayo.com ni kitu ambacho kitakua kinafanyika mara kwa mara, yani hii sio sehemu ya kupata habari tu… mengi nayafanya kwa ajili yako mtu wangu.

Namba za vocha za Vodacom ambazo jumla yake ni shilingi elfu kumi ni 527 2296 9307 868 na 886 9282 5437 698 ungana na mimi kwenye facebook, twitter na instagram kwa jina la Millard Ayo, nitakua nafanya hivi mara kwa mara aisee.

Naomba hiyo vocha ikiingia kwenye simu yako nifahamishe kwa kucomment hapa chini mtu wangu.

Tupia Comments

Advertisement