Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Majibu ya Zitto Kabwe kuhusu taarifa za Lipumba kuhamia ACT-Wazalendo

on

Siku ya jana September 5 2016 zilisambaa taarifa zilizodai kuwa chama cha ACT-Wazalendo kipo kwenye kikao cha kujiandaa kumpokea aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kwamba atahamia kwenye chama hicho.

Sasa leo September 6 2016 chama hicho kimekutana na waandishi wa habari ambapo katika mkutano huo, kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe amejibu kuhusu taarifa zilizosambaa zkwamba Prof. Lipumba atahamia chama hicho, Zitto amesema……

>>>’Chama chetu sisi ni cha uwazi kwa hiyo tusingependa watu ambao wanatuwekea maneno, watu ambao wanatabiri vitu ambavyo kimsingi havipo kwa malengo yao, kwa mfano hizo fununu zilizosambazwa jana zilikuwa ni fununu zenye malengo hasi

ULIKOSA ALICHOKIZUNGUMZA ZITTO KUHUSU KUFANYA MKUTANO LICHA YA ZUIO LA POLISI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement