Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Kitu ambacho Zlatan Ibrahimovic anakimiss kutoka PSG

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden aliyejiunga na Man United kama mchezaji huru akitokea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic amefunguka na kueleza kitu pekee ambacho anakimiss kutoka klabu ya PSG.

Zlatan Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 34 anajianda kucheza mchezo wake wa durby wa kwanza dhidi ya Man City weekend hii, lakini katika interview yake na French TV kuhusu durby yake ya kwanza Manchester, alitoa kauli ya kuchekesha pale alipoulizwa unamiss nini kutoka PSG jibu lake alikutarajia.

“Ninachomiss kutoka Paris kiukweli ni mshahara wangu wa pale, hicho ndio ninachomiss”

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement