Leo feb 22 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Angela Kairuki ametangaza kumsimamisha kazi Mkuu wa chuo cha Utumishi wa Umma na Wakurugenzi wawili wa chuo kwa tuhuma za ubadhirifu wa wa mali za umma.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE