Amplifaya ni show ya Radio ambayo husikika Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja jioni on CloudsFM ikizirusha habari kumi kubwa za siku ambazo ni mchanganyiko wa burudani, michezo, siasa, muziki na mengine ya maisha.
#AmplifayaUPDATES Majambazi watatu wauwawa Arusha, ujumbe huu wakutwa nyumbani kwao ‘Kova andaa kamati ya mazishi ya vijipolisi vyako’
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Prof. Safari asema Halima Mdee atalala rumande leo, ahojiwa na Polisi kwa tuhuma za kumshambulia mtu uchaguzi wa Meya juzi
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Mpaka Feb 28 2016 taarifa za Wagonjwa 16825 zilitolewa Tanzania ambapo kati yao 258 wamefariki. >> @HKigwangalla
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Nay wa Mitego ‘Gari langu kupasuliwa kioo imenitisha, situmii magari yangu tena, nafikiria kuacha muziki wa aina hii’
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Simba imemsimisha kazi nahodha msaidizi Hassan Is-haka, kamjibu vibaya kocha mbele ya wachezaji, atalipwa nusu mshahara.
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Kuhusu Walimu kupanda Daladala bure Dsm, chama cha walimu chasema ingepigwa hesabu ya nauli zao wawekewe ktk mshahara tu.
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Mbunge wa Ubungo Kubenea: ‘Udanganyifu ndio ulifanywa uchaguzi wa Meya juzi, kama sio udanganyifu vurugu zisingetokea’
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Baada ya chama cha walimu kukosoa ‘Daladala za bure’ Makonda asema ‘Nafikiri kwanza walitakiwa kushukuru wao kukumbukwa’
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Malkia wa nguvu leo ni @FlavianaMatata Mwanamke aliyejitambua, kwa nguvu zake ametengeneza rangi yake ya kucha.
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
#AmplifayaUPDATES Waziri mkuu Majaliwa kamsimamisha kazi Daktari aliyeomba rushwa ya shilingi laki moja hospitali ya rufaa Mtwara.
— millard ayo (@millardayo) February 29, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE