Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa habari zote kubwa kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Mkazi Bahi Dodoma ahukumiwa miaka mitatu jela au kulipa faini mil 5 kwa uchochezi na kulikashifu jeshi la polisi kupitia facebook pic.twitter.com/gHMeNC4uG6
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
Magazeti yote ya Tanzania ya December 8 2016 nimeshaweka kwenye https://t.co/G3BpafI2ae>>>https://t.co/pyrnTzK4AA pic.twitter.com/Y9Nx8IAF1M
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#JamboLEO Ma-RC wanaotajwa kufanya vizuri
1.RC Makonda-DSM
2.RC Makalla-Mbeya
3.RC Mtaka- Simiyu
4.RC Gambo-Arusha
5.RC Mongella-Mwanza pic.twitter.com/XmitXfPU56
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI TBS Arusha imeteketeza tani 2.7 za sabuni za kuogea zenye thamani ya mil 18 zilizoingizwa nchini kutoka India pic.twitter.com/6GMZn8xu4c
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI NSSF yakusanya zaidi ya bil 4 za pango kutoka kwenye nyumba zake kote nchini ktk robo tatu ya mwaka iliyoanzia July -Sept 2016 pic.twitter.com/v6PUAjJauM
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI Polisi Mwanza inamshikilia mwanaume anayetuhumiwa kumchoma viganja kwa moto mwanawe aliyekula kiporo cha wali pic.twitter.com/mIjIuUxyh3
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI Mikoa kanda ya ziwa inatajwa kuongoza kwa utoaji hati feki za ardhi, huku baadhi wakijimilikisha maeneo makubwa bila kuyaendeleza pic.twitter.com/2zWi8qen8b
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI Trump amesema anataka kufuta ombi la ununuzi wa ndege mpya za Airforce One kwa vile gharama zake ni kubwa pic.twitter.com/aISJ6iSKcx
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MTANZANIA Hatimaye mwili uliokuwa ukigombewa, utazikwa kesho ktk makaburi ya Airwing, Ukonga Jeshini DSM pic.twitter.com/ScSqLpTivs
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MTANZANIA Imeelezwa kuwa ulaji wa pilipili unaweza kuwasaidia watu wanene au wanaougua ugonjwa wa kisukari kusawazisha sukari kwenye damu pic.twitter.com/0pypXAcET4
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI Imeelezwa Faru John aliondolewa Ngorongoro kwa ukorofi, alikuwa amehodhi majike yote na alikufa baada ya kupelekwa Serengeti pic.twitter.com/WECsi36iLi
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI CHADEMA wataka Rais mstaafu Mkapa apokwe shamba kama Sumaye, Meya Manispaa ya ubungo asema lipo mbezi nalo halijaendelezwa pic.twitter.com/FhpRmeTZjq
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI Wataalamu wa uchumi wamesema bila kupanga bajeti kwa kuweka vipaumbele ipasavyo, mwezi January lazima uonekane mgumu pic.twitter.com/FK8c8NYJyV
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI Wizara ya mambo ya ndani ya nchi kujitoa kwenye mikataba yote iliyoingia na kampuni za kiraia ikiwa ni kutekeleza agizo la JPM pic.twitter.com/RxjZTM4Hfn
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#MWANANCHI CCM Mtwara waiomba Serikali kumtupia jicho mmiliki kiwanda cha saruji cha Dangote kwani anaweza kuwa balozi wa kuvutia wawekezaji pic.twitter.com/7GD77vu3aK
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#TanzaniaDAIMA Mali za taasisi za umma hatarini kupigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa tozo hivyo mizigo hiyo kukwama bandarini pic.twitter.com/YipOLNjiAr
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#TanzaniaDAIMA Kampuni ya Baga Investment imesema kushindwa kwake kulipa mishahara inatokana na kuidai TPA bil 2, hata hivyo TPA imekanusha pic.twitter.com/n3xTKUhTRB
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#GazetiAMANI Rammy Galis asema wazazi wake hawataki kabisa kumuona akishiriki kwenye sanaa, jambo ambalo linampa wakati mgumu sana pic.twitter.com/cC4QZMThoI
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#UHURU Serikali imetangaza kuanza kuwafilisi wafanyabiashara waliokwepa kulipa kodi ktk bandari ya DSM, kwa kutorosha makontena 329 pic.twitter.com/6ZOn6hywk6
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
#UHURU Baada ya kususia mkono wa Rais Shein, Maalim Seif akataa kupokea kadi ya mwaliko wa sherehe za maulid zilizopelekwa na maofisa wa SMZ pic.twitter.com/1oMaJI76dV
— millardayo (@millardayo) December 8, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA DECEMBER 8 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI