Baada ya jengo la shule ya Islamic Girls kuwaka moto usiku wa May 17 2016, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameungana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salim kufika eneo la tukio na kuwajulia hali wahanga waliokumbwa na janga hilo, hata hivyo mpaka millardayo.com inaondoka eneo la tukio chanzo cha moto huo kilikuwa hakijajulikana.
ULIZIKOSA HOJA ZA ZITTO KABWE BAADA YA HOTUBA YA WIZARA YA UJENZI? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE