Muigizaji Irene Paul amezungumza kuhusu chanzo cha ugomvi wake na Rammy ulipoanzia ambapo kasema ni toka kipindi Rammy alipokuwa akitoka na marehemu Masogange ambapo moja ya kitu Masogange aliwahi kumlalamikia ni pamoja na kuwa Rammy anapenda mteremko.
Pamoja na hilo Irene kazungumzia kuhusu yeye kudaiwa kumtaka Rammy na Rammy akamkataa kitu ambacho Irene amekuwa na kinyongo naye..Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza kila kitu.
“Rammy alisema siku ya msiba wa MASOGANGE atatafuta KIKI, ninao ushahidi” – Irene