Zuwena (Mama Steve) ambaye ni mzazi mwenza na muimbaji Barnaba Boy alikuwa ni miongoni mwa watu waliohudhuria kwenye Listening party ya Album ya Barnaba ambapo Ayo TV ikampata kwenye mahojiano na kupiga naye story ndipo alipofunguka kuhusu wanawake waliodaiwa kumgombea Barnaba pamoja na kukutana kwao ikiwa wameachana.
Video hapa chini inakila kitu alichozungumza Mama Steve Bonyeza PLAY kutazama.
MONALISA KAFUNGUKA: “Mimi sina mwanaume sitaki kufunga ndoa”
EXCLUSIVE: “BARNABA NI MUHONGAJI MZURI HII GAUNI KANUNUA/NIMEMCHORA TATTOO”