Kwa mara nyingine tena kwa mwaka 2016, Shinyanga umekua ni mkoa wenye mapokezi mazuri ya watu wa nguvu wenye mapenzi na bongofleva.
Show imefanyika Jumamosi ya September 03 ikiongozwa na wakali kama Mr Blue, Navy Kenzo, Baraka da Prince, Linah, Bill Nass, Madee na Tunda Man.
ULIKOSA RAYVANNY ALIVYOIMBA LIVE ‘KAMWAMBIE’ YA DIAMOND, BARAKA NA CHRISTIAN BELLA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI