Mix

PICHA 6: Rais Magufuli alivyoagwa nchini Uganda

on

May 11 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli aliwasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni na siku iliyofuata Rais Magufuli alifanya mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni .

Katika mazungumzo hayo Rais Magufuli  alimshauri Rais Museveni kufupisha muda wa ujenzi wa mradi wa Bomba la mafuta kwa kutumia wakandarasi wengi watakaogawanywa katika vipande tofauti badala ya kutumia mkandarasi mmoja.

2

Uwanja wa ndege wa Entebe wakati Rais Magufuli akiondoka kurejea Tanzania.

5

Rais Magufuli alipowasili kwenye hafla ya chakula cha jioni na Viongozi wakuu wa nchi mbalimbali.

3 6  8 9

ILIKUPITA HII YA RAIS MAGUFULI ALIVYOTUA  KWA NDEGE AKITOKEA RWANDA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments