Mama mzazi wa Marehemu Kanumba amesema kuwa siku ya Kanumba Day ambapo amesema watazindua Documentary ya Kanumba ambayo itakuwa inaelezea maisha ya Kanumba tangu mimba mpaka alipozaliwa na kazi zake za movie alizokuwa akizifanya na album hiyo itaambatana na Movie mbili.
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza akielezea…
“Sijawahi kulia shida kwa Wema, Lulu kafungwa na Jamhuri” Mama Kanumba