Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari ‘Magufuli azigeukia kampuni za simu”
#HabariLEO Rais Magufuli aagiza kukusanywa kwa kodi sitahiki kwenye miamala ya fedha inayofanywa na kampuni za simu pic.twitter.com/VYSjn1X9Ig
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
Gazeti la Habari Leo limeripoti kuwa Rais John Magufuli ameagiza kwa taasisi zinazosimamia fedha na kodi, kuhakikisha kuwa Serikali inakusanya kodi kwenye miamala ya fedha, inayofanya na taasisi hizo na kampuni za simu na za madini.
Aidha Gazeti hilo limeripoti kuwa Rais Magufuli ameagiza kuwa sh bilioni saba zilizolipwa na pensheni hewa, zirejeshwe mara moja huku akitoa ufafanuzi wa hatua ya serikali ya kusitisha kwa muda ajira serikalini. Rais Magufuli aliyasema hayo Dar es salaam jana katika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Unaweza kupitia habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya Tanzania June 23 2016
#MWANANCHI Atakayeshindwa kudai risiti jela miaka mitatu iwapo muswada wa sheria ya fedha 2016 utapitishwa na bunge pic.twitter.com/NcO7q5zz5d
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#MWANANCHI Vitendo vya kibaguzi kati ya CCM na CUF sasa vimeanza kuonekana maeneo ya vijijini kisiwani Unguja pic.twitter.com/cGx7Nxrusi
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#MWANANCHI Serikali imeweka masharti mapya ya kuwekwa namba maalumu magari yatakayoagizwa na kusamehewa kodi pic.twitter.com/sGR8Y4Imrz
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#MWANANCHI Rais Magufuli amesema Serikali imeamua kusimamisha ajira mpya, kupandisha vyeo ili kupisha uhakiki pic.twitter.com/VQVH90AwXc
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli aibua akaunti za wizi kwenye taasisi za fedha na miamala ukiwamo wa bil 7 zilizolipwa na NMB pic.twitter.com/l13H70n8sR
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#NIPASHE Kova aagwa, aomba jeshi la polisi kumpa kitengo cha masoko ili alitangaze na kuliunganisha na wananchi pic.twitter.com/0M15Kym37M
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#NIPASHE Mahakama Iringa imetupilia mbali ombi la kumuachia mtuhumiwa mauaji ya Mwangosi, yasema ana kesi ya kujibu pic.twitter.com/mmZZOxTIVs
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#NIPASHE BAVICHA wajipanga kuzuia mkutano mkuu maalum wa CCM utakaofanyika July 23 2016 Dodoma pic.twitter.com/SKdWH8h5Zt
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#NIPASHE Mbunge Anatropia amejikuta matatani tena baada ya kumvua baraghashia Mlinga wakati wakitoka nje ya ukumbi pic.twitter.com/vI321APc0L
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#HabariLEO Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa bilioni 400 kwa ajili ya usambazaji wa umeme vijijini pic.twitter.com/Myp1wqzK32
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#HabariLEO Rais wa Rwanda atatembelea Tanzania July Mosi mwaka huu ambapo atafungua maonesho ya sabasaba pic.twitter.com/JRwann0mIp
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#HabariLEO Madini ya bil 3.2 yanaswa viwanja vya ndege kwa kipindi cha July 2015 hadi January 2016 ktk matukio 16 pic.twitter.com/6CFeIAt05k
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
#MTANZANIA Kumekuwapo na uelewa mdogo wa wananchi juu ya matumizi ya kadi za UDART na uhaba wa kadi hizo. pic.twitter.com/VCL1cJqXkr
— millardayo (@millardayo) June 23, 2016
ULIKOSA KUANGALIA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNE 23 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE