fB insta twitter

Labda hukuiona hii video fupi ya Balotelli na hasira zake kwa wanaofatilia maisha yake.

on

BalotelliNi staa wa soka ambae yuko na club ya Liverpool sasa hivi, ni maarufu kwa vituko uwanjani na hata nje ya uwanja, ni mkali mwingine ambae ukimzingua hakucheleweshi.

Najua kama wewe ni mtu wa soka utakua umeona sana vichwa vya habari vinavyomkolezea, sasa kaamua kuwapa onyo wanaomfatilia na kuhukumu ishu zake bila kujua ukweli wowote.

Kwenye hii video ya sekunde 15 aliyojirekodi Mario hapa chini akiwa na uso wa hasira kasema >>> ‘Unanijua, umeshawahi kuongea na mimi? unajua nimepitia yapi kwenye maisha yangu? huwa unaniona tu nacheza mpira uwanjani so funga mdomo’

Tupia Comments