Mix

Unazipenda Mark X? kama unapesa unaweza kucheki na hii ya 2014.

on

M3Ukiitegesha camera kwenye kona mbalimbali za Tanzania lazima jioni itakuletea hesabu kubwa ya picha za Toyota Mark X ambazo ni gari za kifahari kutoka kwa Mjapan.

Nimekutana na hii kwenye mtandao ni ya mwaka 2014, Mark X sedan from Toyota G Sports

M2

M1

Mark X

M4

M5

M6

M7

Soma na hizi

Tupia Comments