Ajali za Tanzania kwenye vichwa vya habari zimezidi kuongezeka, leo April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema waliofariki mpaka sasa ni 19, endelea kukaa karibu na millardayo.com kwa taarifa zaidi.
#BREAKING Watu 19 wamefariki Mbeya leo hii baada ya gari walilokua wakisafiria kupinduka, habari zimethibitishwa na RPC Mbeya Ahmed Msangi.
— millardayo.com (@millardayo) April 17, 2015