Ukanda wa Afrika Mashariki ni miongoni mwa kanda za Afrika ambazo husifika kwa kuwa na wanamuziki ambao wanafanya vizuri Afrika na duniani na kuendelea kuutangaza muziki wao.
Nyimbo hizo zimekuwa zikichezwa kwenye TV station mbalimbali duniani ambapo leo April 27, 2017 millardayo.com imekusogezea list ya video nane kati kumi ambazo zimeruka kupitia channel ya Trace Mziki na ili kujua video zilizofanya vizuri zaidi Afrika Mashariki, fuata list hii.
8: Kent & Flosso – Cheza Mama
7: Chege ft Nandy – Kelele za Chura
6: Rosa Ree – Up in the Air
5: Harmonize – Niambie
4: Christian Bella ft Khaligraph – Ollah
3: Bebe Cool – Na na na na
2: Willy Paul ft Alaine – I do
1: Eddy Kenzo – Jubilation
VIDEO: ‘Iliniumiza sana waliposema nimekufa’- Hussein Machozi. Bonyeza play kutazama…