AyoTV

Video ya Zari kuitwa kwenye stage ya White Party yavunja rekodi kwa views YouTube.

on

ZariIlikua ni party iliyoandaliwa na Mastaa kutoka kwenye sekta ya burudani na ikavunja rekodi ambayo haijawahi kuvunjwa Tanzania kwa kuwa na kiingilio kikubwa na bado ticket zikaisha huku party yenyewe ikinogeshwa na Diamond na mpenzi wake Zari ambaye ndio ilikua mara ya kwanza Diamond anamuita mbele ya Watanzania.

Video hii imevunja rekodi kwa kutazamwa YouTube na kugonga views zaidi ya laki tatu na elfu tisini.

millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben kwa ajili ya kujua taarifa zaidi kwenye ajali waliyoipata jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments