Stori Kubwa

Walichokisema Wanasheria na Grey Mgonja baada ya hukumu ya Kisutu leo July 06 2015

on

Screen Shot 2015-07-06 at 4.25.31 PM

>>> “Washtakiwa wawili wa Kwanza na wa pili wamekutwa na hatia… Mahakama imewaona na hatia, makosa la kwanza mpaka la kumi ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka. Mgonja Mahakama imemweona hana hatia” >>>Tumaniel Kweka, Wakili wa Serikali.

Hatujaridhika.. Hili shauri limesikilizwa na Mawakili watatu, Kama tunaamini uamuzi uliotolewa hauendani na Sheria tutakata rufaa tutakwenda kwenye Mahakama ya juu tutatafsiri Sheria upya“>>>

Haya ndio maneno aliyoyasema Grey Mgonja nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiwa huru>>> “Hizo zote ni rehema za MUNGU, hakuna mtu mwingine anayeweza… ninaweza kusema hayo tu kwa sasa” >>>

 

Tupia Comments