Mix

Congo yapiga marufuku wapenzi wa jinsia moja kuasili watoto kutoka nchi hiyo

on

Bunge la Seneti la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo limepiga marufuku wapenzi wa jinsia moja kuwaasili watoto kutoka nchi hiyo.

Serikali ya nchi hiyo imekuwa mstari wa mbele ikijaribu kupeleleza hatma ya watoto waliohamishwa nje ya nchi. Tangu mwaka wa 2013 DRC imekuwa ikipinga kuhamishwa nje ya nchi kwa watoto walioasiliwa nchini humo.

ULIKOSA WABUNGE WA CCM WALIPOPINGA SHINIKIZO LA WAPINZANI KUTAKA KUMUONDOA NAIBU SPIKA< UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments