Michezo

PICHAZ 25: Yanga walivyopokea Kombe lao la Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 leo May 14 2016

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa Bingwa wa Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wake wa 29 dhidi ya Ndanda FC uwanja wa Taifa Dar es Salaam, licha ya kuwa Yanga tumezoea kumuona Taifa kama mwenyeji ila leo yeye ndio alikuwa mgeni wa Ndanda FC ambao walikubali kuchezea Taifa kama uwanja wa nyumbani.

2X6A9978

Katika mchezo huo wa kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu kwa kutetea taji hilo mara mbili mfululizo, wamelazimishwa sare ya goli 2-2, Ndanda FC ndio walianza kufunga goli kwa mkwaju wa penati dakika ya 28 kupitia kwa Omary Mponda.

2X6A9903

Haruna Niyonzima akiwa na mkewe pamoja na watoto wake mapacha

Yanga walifanikiwa kusawazisha goli dakika ya 36 kupitia kwa Simon Msuva, lakini dakika ya 40 Donald Ngoma akapachika goli la pili kwa Yanga na kuwafanya Yanga kuwa mbele kwa goli 2-1, Yanga waliendelea kuutawala mchezo katika uwanja ambao umejaa mashabiki wake ambao wanasubiria kuona Kombe likabidhiwa,  kujisahau kwa Yanga kuliwafanya Ndanda FC kuchomoa goli dakika ya 80 kupitia kwa Atupele Green.

2X6A0020

2X6A0019

2X6A0029

2X6A0062

Kamusoko, Ngoma wakiwa na wake zao pamoja na nahodha wao Canavaro

2X6A9913

Nonga na Yondani baada ya mechi kumalizika

2X6A0013

2X6A0030

2X6A0032

2X6A9905

Ngoma ambaye leo ndio ametwaa taji lake la kwanza akiwa na mkewe

2X6A9908

2X6A9915

Kutoka kushoto Jery Muro, Ngoma na mke wa Ngoma

2X6A9919

Kutoka kushoto Jery Muro, Ngoma na mke wa Ngoma

2X6A9920

Haruna Niyonzima na mtoto wake

2X6A9923

Kamusoko akiwa na mtoto wake Tshani na mkewe

2X6A9924

Kamusoko akiwa na familia yake na bendera ya nchi yake Zimbabwe

2X6A9930

Ngoma na mkewe

2X6A9939

2X6A9953

2X6A9960

2X6A9961

2X6A9967

2X6A9984

2X6A9998

ALL GOALS: MBEYA CITY VS YANGA MAY 10 2016, FULL TIME 0-2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments