Top Stories

Agizo la Waziri Jafo laanza kutekelezwa Kigoma, Viongozi waweka kambi dampo (+video)

on

Baada ya Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo kutoa agizo akiwa Mkoani Kigoma la kutaka ndani ya siku 15 kuwa dampo la Kisasa liwe limeanza kutumika huku akitoa angalizo kama watachelewesha mitambo yote atapeleka Dodoma,.

Leo March 21, 2019 Jitihada za Maafisa wa Serikali zimeanza kufanyika zikiongonzwa na Kaimu Kiongozi wa Idara ya Usafi na Mazingira katika Manispaa ya Kigoma baada ya kuanza kwa kusafisha kwa kutoa nyasi zilizopo kwenye Dampo na kusema ifikapo tarehe 22/03/2019 dampo hilo litaanza Kazi.

TUNDA KUOLEWA HIVI KARIBUNI?/ MILLARD AYO KUJIFUNZA MAREKANI

Soma na hizi

Tupia Comments