Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: RC Makalla afunguka “Mzazi mwenye mtoto Panya Road akamtafute mwanae kituo cha Polisi”
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > RC Makalla afunguka “Mzazi mwenye mtoto Panya Road akamtafute mwanae kituo cha Polisi”
Top Stories

RC Makalla afunguka “Mzazi mwenye mtoto Panya Road akamtafute mwanae kituo cha Polisi”

September 15, 2022
Share
2 Min Read
SHARE

RC Makalla amesema Mazazi mwenye mtoto Panya Road kuanzia leo Septemba 15, 2022 asipomuona nyumbani asihangaike akamtafute mwanae Kituo cha Polisi au Hospitali.

RC Makalla ameyasema haya mapema leo katika Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Kata ya Zingiziwa Chanika Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam.

Mhe Makalla ametangaza Kukamatwa kwa Watuhumiwa Wengi kwenye Operesheni katika Matukio ya Tabata, Kawe na Mizumuni ambapo amesema Watuhumiwa wengi ni wale waliotoka magerezani na kumaliza vifungo hivyo ametoa rai na ana imani na mahakama kuwa itatenda haki wale ambao makosa yao yana rudia rudia hukumu yao iwe kali zaidi.

Aidha RC Makalla amewahakikishia wananchi wa DSM kuimarika kwa Ulinzi Askari 300 Wameongezwa kushughulika na Panya Road wananchi wasiwe na hofu waendelee na shughuli zao za kujiletea maendeleo.

Vilevile Mhe Makalla ametaka Ulinzi Shirikishi kila Mtaa kwa kushirikiana na Polisi na tayari Wakuu wa Wilaya wote DSM wanamaelekezo ya kusimamia jambo hilo kwa weledi mkubwa.

Sambamba na hilo RC Makalla ametoa Rai kwa wananchi kutoa taarifa za Kusaidia Operesheni na Sio Upotoshwaji na Kuzusha hofu huku akiwataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri.

“Tusitumie mitandao kutengeneza hofu na Wananchi wetu kukaa kwa wasiwasi, Taarifa ni muhimu sana lakini ziwe taarifa zenye uhakika” Amesisitiza RC Makalla

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA September 15, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais wa Ukraine apata ajali
Next Article Panya Road waua Dar, RC Makalla atoa tamko “Wanavunja Milango, kuiba, wengi wametoka magerezani”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?