Kila siku binadamu hufikiria teknolojia mpya kwa ajili ya kurahisisha maisha ambapo leo July 8, 2017 Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limebuni kifaa maalum kinachoweza kupunguza gharama za wiring katika nyumba.
Afisa Uhusiano wa Tanesco Yasin Silayo anasema kifaa hicho kinachojulikana kwa jina la Red Board kinaweza kutumiwa na mwananchi yeyote hasa wenye matumizi madogo ya umeme kikiwa ni kifaa salama kwa ajili ya matumizi na kuuzwa kwa Tsh. 36, 000.
>>>”Mwananchi badala ya kufunga wiring anaweza kutumia kifaa hiki na kilianza kutumika rasmi wakati ulipoanza mchakato wa kufungwa kwa umeme wa REA.” – Yasi Silayo.
GOOD NEWS iliyotangazwa na Serikali kwa Jiji la DSM!!!