Mix

Toyota Probox ni gari ndogo tu ya kutembelea… Unajua sehemu nyingine Kenya wanavyoitumia?? (Pichaz)

on

TZA GUVU ZA PROBOX

Ninae ripota wa nguvu toka 254 Kenya, stori za huko ziko karibu na mimi pia wakati wote yani.

Kuna picha unaweza kuona mtu kapost kwenye mitandao ya kijamii alafu ukaona kama ni picha ya kutengenezwa hivi na haina ukweli wowote.. amini kwamba ziko nyingine ni za ukweli kabisa!!

Julius Kipkoech kanisogezea hizi pichaz… haya ndio matumizi mengine ya hizi gari aina ya Toyota Probox ndani ya Kenya mtu wangu.

TZA GUVU ZA PROBOX 2

Hii imebeba abiria.. Ukiangalia kwa haraka haraka watu waliomo ndani na mizigo imezidi uwezo wa gari yenyewe.

TZA GUVU ZA PROBOX 3

Hii imebeba list ya mastaa wa soka na majina mengine ya timu za mpira wa miguu.

TZA GUVU ZA PROBOX 4

Hawa walipakia ng’ombe kabisa.

TZA GUVU ZA PROBOX 5

Hii iko zake kijiweni inasubiri abiria.

TZA GUVU ZA PROBOX 6

Hii imepakia tanki.

Toyota_Probox_Van_DX_rear

Huu ndio mwonekano wa Toyota Probox mpya kabisa.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments