March 8 2016 ni siku ya wanawake Dunia, kama wewe ni mpenzi wa burudani leo kupitia 255 ya Clouds FM story zilizopata airtime ni pamoja na hizi,
‘Nikiwaga nyumbani napenda kupika, kuangalia movie kukaa na marafiki, sijaolewa alafu sina boyfriend, mimi ni binadamu kama atatokea boyfriend sitaweza kukataa akitokea basi awe na roho nzuri, roho ya huruma na mpenda Mungu‘>>>Maua Sama
‘Kwanza kabisa sijawahi kuzungumzia chochote kwenye Media kuhusiana na huyo mtu mliyemtaja sina mahusiano naye yeyote yawe ya kimapenzi au kirafiki yaani namfahamu kama msanii tu na hata kwenye Playlist nilitaja nyimbo ninazozipenda haijalishi watu wanaongea kitu gani alafu sipendi mapenzi‘>>>Nisha Bebee
Na stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE