Baada ya kudaiwa kuwa kuna Kundi la mashabiki wa Barcelona wanaopanga kufanya fujo wakati wa mchezo wa Barcelona na Las Palmas leo wakidai mchezo huo uahirishwe kutokana na jimbo la Catalunya kuwa katika uchaguzi.
Uongozi wa LaLiga na FC Barcelona kwa pamoja wameafiki mchezo huo kuchezwa bila uwepo wa mashabiki uwanjani, kwa kuhofia usalama kutokana na mashabiki kuahidi kuwa wangevamia uwanjani kama mchezo huo utachezwa.
MAGOLI YOTE: Mbao FC vs Simba FC September 21 Mwanza (2-2)