Kazi ya Millard Ayo siku zote ni kukusogeza karibu na matukio yote yanayotokea Tanzania na nje ya Tanzania ambapo ukiwa na APP ya Millard Ayo kwenye simu za Android na IoS utakuwa unapata notification ya kila mpya ninayoiweka.
Asubuhi hii ya leo June 24, 2017 nimekukusanyia na kukusogezea mambo 20 ya kuyafahamu miongoni mwao ikiwa ni pamoja na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu aya Juu HESBL kupanga kuwachukulia hatua waajiri ambao huchukua 15% ya waajiriwa na kuzitumia kinyume na kuziwalisha kwenye Bodi hiyo.
Wasomi nchini wametakiwa kupunguza lugha ya ugomvi baina yao kuhusu hatua za Rais Magufuli juu ya ukombozi awamu ya pili kiuchumi #HabariLEO
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amesema ni lazima kama Taifa kujenga utaratibu wa kila mtu kulipa kodi. #HabariLEO.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara kuwanyang'anya viwanda wote waliouziwa na Serikali kisha wakavitelekeza. #HabariLEO.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Ofisi ya Madini Kanda ya Ziwa Magharibi imefuta leseni 502 za uchimbaji mdogo wa madini kutokana na wamiliki kukiuka masharti. #MWANANCHI.

Serikali imekiri kuwepo kwa tatizo la ubambikiwaji wa bili za maji kwa wananchi unaofanywa na Mamlaka mbalimbali za Maji nchini. #MTANZANIA.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Serikali imetoa kibali cha kuajiri watumishi wapya 535 wa ngazi ya Wasaidizi wa Hesabu kwenye vituo vyote vya Afya nchini. #MTANZANIA.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
CHADEMA Arusha imepanga kuonana na Rais JPM kumueleza vitendo vya unyanyasaji wanavyofanyiwa na viongozi wa Serikali wa Mkoa huo. #MTANZANIA
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
"Serikali ya watu, inayowatumikia watu na iliyowekwa na watu haitapotea duniani." – Abraham Lincoln #MTANZANIA.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
IGP Sirro amesema mwamko mdogo wa elimu kwa wananchi wengi umesababisha ongezeko kubwa la vitendo vya udhalilishaji. #NIPASHE.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Serikali ya Z'bar imesema haitowavumilia madaktari wanaozembea wakati wa kutoa huduma za afya kwa wananchi wanaofika Hospitalini. #NIPASHE.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Jitihada za kuboresha sekta ya kilimo zimeleta matumaini ya kutokosa chakula 2020 kwa kuwavutia vijana na watumishi mbalimbali. #NIPASHE.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Matukio ya ujangili wa wanyamapori na ukataji miti kwa ajili ya kuchoma mkaa yameongezeka katika Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori. #NIPASHE
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
RC Rukwa, amewaonya wakazi waishio mwambao wa Ziwa Tanganyika Mkoani humo kuacha kukimbilia tiba za jadi pindi wauguapo. #NIPASHE.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Tabota Aggrey Mwanri amewaomba viongozi wa dini kuhakiki taarifa za binti kujua umri kabla ya kufungisha ndoa #TanzaniaDAIMA
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
CHADEMA Bunda, imeazimia Madiwani wao kutoshirikiana na M/kiti wa Halmashauri kwa madai ya kuisababishia hasara Halmashauri. #TanzaniaDAIMA.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Imeelezwa kuwa sukari imeanza kuadimika ktk maeneo mengi na bei ikipanda kutoka Tsh. 1,800 hadi kati ya Tsh. 2,500 na 3,000. #TanzaniaDAIMA.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Jeshi la Polisi limewatahadharisha wananchi kuwa makini na usalama wa maisha na mali zao wakati wa Sikukuu ya Eid El Fitr. #TanzaniaDAIMA.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
Imeelezwa kuwa migogoro mingi ya ardhi inachangiwa na baadhi ya mabaraza ya ardhi ya Kata na Watendaji wa Kijiji kutokuwa na elimu. #UHURU.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
HESBL itawachukulia hatua waajiri wanaochukua 15% ktk mishahara ya waajiwa na kuzitumia tofauti na kuziwasilisha kwenye Bodi hiyo. #UHURU.
— millardayo (@millardayo) June 24, 2017
AyoTV MAGAZETI: Mawaziri Maliasili “wajiandae”, Ujumbe wa kuua Polisi wazidisha hofu Kibiti!!!!