Baada ya Diamond Platnumz kukiri hadharani kuwa mtoto wa Hamisa Mobetto Prince Dully ni wake kutokana na wengi walikuwa wakidhani kuwa amemkataa, inawezekana wewe ukawa ni mmoja kati ya watu waliyokuwa wanahamu ya kufahamu Zari na Diamond wapo katika maelewano gani? Baada ya Diamond kukiri hadharani kuwa Dully ni mtoto wake? Wamegombana au wamesameheana?
VIDEO: Bonyeza PLAY kumsikiliza msanii Nini hapa chini