Huenda katika Sherehe ambazo staa wa Nigeria 2 Face Idibia amewahi kuzifanya hii ambayo ilifanyika jana September 18 2015 ilikuwa imekaa poa zaidi !!
Moja ya vitu vilivyovutia ni cake ambayo mkewe, Annie aliiandaa.
2 Face na Annie walifunga Ndoa mwaka 2013, japo kuna wakati 2 Face aliwahi kusema kwamba hatamani kuoa kwa vile hakujiona kama anaweza kuwa ‘mume wa mtu’, lakini toka wamefunga Ndoa maisha yao yameenda poa kabisa mpaka leo.
Annie Idibia aliandika post hii kwenye ukurasa wake @Instagram kumtakia birthday njema mpenzi wake na kuonesha pia jinsi ambavyo ana love ya nguvu kwa mtu wake>>> “Happy birthday to the best MAN I know… I love u today n always … @2faceidibia1 God bless u my darling .. Eternally Yours…“
Ngoma ambayo ilimsogeza 2 Face kutambulika nje ya mipaka ya Nigeria na Africa ni hii hapa, hit ya kitambo kabisa ‘African Queen‘
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos