AyoTV

Ushindi wa Simba vs Rayon Sports, Simba Day 8 2017 Full Time 1-0

on

August 8 2017 Simba Day timu ya soka ya Simba SC ilicheza game ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports katika uwanja wa Taifa Dar es salaam, Simba ambao waliutumia mchezo huo kama sehemu ya kutambulisha kikosi chao wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Mohamed Ibrahim dakika ya 16.

VIDEO: Gor Mahia vs Everton: Full Time 1-2 (ALL GOALS JULY 13, 2017)

Soma na hizi

Tupia Comments