Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema jukumu lake ni kuijengea Miundombinu ya maendeleo Jiji la Tanga kwani ndio ahadi aliyoahidi wakati akiomba kura katika Jumuiya ya Wanawake ya CCM wakati akiomba nafasi ya kuwa Mbunge wa Viti maalum.
Waziri Ummy amesema licha ya baadhi ya watu kusema anafanya hivyo ili kupata Ubunge mnamo mwaka 2020 yeye hawezi kuacha kuchangia shughuli za maendeleo kwa ajili ya maneno hayo.
POLISI WANADAIWA MILIONI 51, MAGEREZA MIL. 170, MKURUGENZI AIANGUKIA SERIKALI